Angalau akae humo, lakini Toyota rush hapanaNunua subaru forester XT acha uoga weweee
Suzuki Jimmy Massawe. [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Toyota rush mnavipendea nini? Fuel consumption? Ama nini? Kni gari ambazo bei ipo juu lakini ni vigari hovyo sana, ni raisi hata kubebwa na upepo, kina shape kama visuzuki vile wanavyopenda wachaga.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] We mchaga wewe, no offense ila vile visuzuki vinapendwa na wachaga acha tu, na hovi vina 4wheel, vinapita mlimani huko kila konaSuzuki Jimmy Massawe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo Tsh? hii.Nunua subaru forester XT acha uoga wewe
19-24 inategemeaBongo Tsh? hii....
Anunue Land Rover 109 updated hatojutaAngalau akae humo, lakini Toyota rush hapana
Kuna gari inaitwa prius utafurahi mwenyewe