Naomba ushauri nataka kwenda mozambique au DRC congo kuanza biashara ya ununuzi wa madini na kuuza.

Naomba ushauri nataka kwenda mozambique au DRC congo kuanza biashara ya ununuzi wa madini na kuuza.

rogers1992

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
26
Reaction score
1
Naomba ushauri nataka kwenda mozambique au DRC congo kuanza biashara ya ununuzi wa madini na kuuza. Mtaji wangu ni USD $1000
 
Naomba ushauri nataka kwenda mozambique au DRC congo kuanza biashara ya ununuzi wa madini na kuuza. Mtaji wangu ni USD $1000
Kwa mtaji huo nunua hapa hapa tz kwanza, sikushauri kwenda congo.

Kama uko serious tunaweza kushirikiana kufanya biashara, mm niko katavi nimeingia kwenye biashara ya uchimbaji wa dhahabu (small scale) na tayari nimeanza uzalishali ingawa kwa kiasi kidogo kidogo

Mm nauza gram 1 sh 65000 - 70000 kulingana na bei ya soko, kama ww uko stationed dar, unaweza tafuta bei nzuri zaidi kwa wanunuzi na ukawa unanunu kwangu unauza kwao, au namna yoyote nzuri tunayoweza kukubaliana kufanya business

Get in touch with me on 0767659145
 
Sawa nadhani tutafanya kazi pamoja Alphonce kwa sasa nipo Nairobi kuangalia masoko ya dhahabu. Wiki ijayo narudi tanzania nitakutafuta
 
Mozambique kuna madini ya bei nafuu, na ukija kuuza uku Tanzania utapata faida kubwa mfano Rodelight, aquamarine ni baadhi ya madini yanayopatikana Mozambique
 
Yaani $1000 x 2200 = 2,200,000Tsh.
Hapo hiyo ndio mtaji, chakula, malazi na usafiri..![emoji15]
Then ndio unasema umeenda Nairobi kutafuta soko la dhahabu, kwa mtaji huo wa $1000 abayo ni sawa na Tsh 2,200.000
Hapa naona mleta uzi unatania aiseeee......
 
Niko kwenye biashara ya madini kwa zaidi ya miaka 20, siwashauri wasioijua/wanaotaka kuanza kuingia kwenye biashara hii angalau kwa sasa! Imekuwa ngumu na isiyotabirika!
Huko Mozambique ni shida sana kiusalama, DRC sina hakika sana maana nilienda zamani sana!
Kwa mtaji huo, unaweza kupata tanzanite ndogondogo za kuzungusha hapa hapa Bongo kwa masonara, ingawa nao kwa sasa wanalia njaa kwelikweli!
 
Back
Top Bottom