rogers1992
Member
- Jul 1, 2013
- 26
- 1
Kwa mtaji huo nunua hapa hapa tz kwanza, sikushauri kwenda congo.Naomba ushauri nataka kwenda mozambique au DRC congo kuanza biashara ya ununuzi wa madini na kuuza. Mtaji wangu ni USD $1000
Tanzanite kwa hiyo hela??Chukua Tanzanite Tz/Arusha peleka S.Africa.
kwasasa nadhani ni 2.2 m$1000 ni sawa na 1.5m tshs?