Naomba ushauri nataka nibadilishane Xtrail kwa Vits au Starlet

Naomba ushauri nataka nibadilishane Xtrail kwa Vits au Starlet

Habari zenu wana jukwaa

Nimekuja kuomba ushauri wenu, nina xtrail 2001 cc 1990 , lakini nataka badilishane na mtu (nikimpata) anipe vitz au starlet, yote hii ni kwa sababu xtrail kwangu mimi ni kubwa katika kuendesha lakini pia nahitaji gari yenye CC ndogo tu...
Dah gari naikubali sana, ninayo mwaka wa nne sasa aisee hii gari iko njema sana...shida yake kifaa kikiharibika bei yake lazima uugue ila ukibadilisha utasahau milele...gari iko vizuri sana nashangaa sana ukibadilisha.
 
kule ulikojenga ukaiacha nyumba naona hiy itakifaa sana kweny utelezi na milima
acha jamaa aibadilishe mapema
Ha ha ha. Nilirudi kupanga chumba Kinondoni kule Kerege narudi weekend tu. Ila Mnyama X-trail aisee Lazima nilipuke tu hata kwa Mkopo NMB. Maana shemeji yenu anateseka sana
 
Ujasiri huu safi kabisa
Ha ha ha. Nilirudi kupanga chumba Kinondoni kule Kerege narudi weekend tu. Ila Mnyama X-trail aisee Lazima nilipuke tu hata kwa Mkopo NMB. Maana shemeji yenu anateseka sana
 
Back
Top Bottom