Naomba ushauri nataka nibadilishane Xtrail kwa Vits au Starlet

Dah gari naikubali sana, ninayo mwaka wa nne sasa aisee hii gari iko njema sana...shida yake kifaa kikiharibika bei yake lazima uugue ila ukibadilisha utasahau milele...gari iko vizuri sana nashangaa sana ukibadilisha.
 
kule ulikojenga ukaiacha nyumba naona hiy itakifaa sana kweny utelezi na milima
acha jamaa aibadilishe mapema
Ha ha ha. Nilirudi kupanga chumba Kinondoni kule Kerege narudi weekend tu. Ila Mnyama X-trail aisee Lazima nilipuke tu hata kwa Mkopo NMB. Maana shemeji yenu anateseka sana
 
Ujasiri huu safi kabisa
Ha ha ha. Nilirudi kupanga chumba Kinondoni kule Kerege narudi weekend tu. Ila Mnyama X-trail aisee Lazima nilipuke tu hata kwa Mkopo NMB. Maana shemeji yenu anateseka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…