Naomba ushauri: Nataka nifungue duka la dawa

Dollarssein

Member
Joined
May 15, 2023
Posts
9
Reaction score
13
Jamani wanaforums, nina mtaji wa kutosha kufungua duka la dawa (pharmacy)na nataka kusimama mwenyewe kwenye biashara yangu ila sina elimu ya afya na nina mpango wa kuanza chuo kwa ngazi ya diploma.

Sasa naomba mnisaidie ushauri je nikasome kozi ipi kati ya PHARMACY na CLINICAL MEDICINE kwa kuzingatia kwamba nina ndoto ya kufungua hospitali yangu hapo baadae na niwe mhusika na mtendaji mkuu kwenye hiyo hospitali.
 
Kama mtaji upo wa kutosha tumia watu kufikia ndoto na malengo yako. Namanisha ajili watu husika wenye fani ya kile unataka kufanya kisha wewe utabaki kuwa mkurugenzi mkuu. Huwezi kufanya kila kitu wewe mwenyewe, kingine muda unakimbia sana huo muda unaenda kusoma ni bora uanze kupambana muda huu kufika huko unataka. Mafanikio yapo katika watu, kila la kheri.
 
Ushauri wa Kimaono Huu! Matajiri wengi wanatumia watu kufanikisha malengo yao!.
Nb; Mtoa maada kama unahitaji kufikia malengo yako ajili watu wakufikishe pale unapopataka.. Mbeba maono hafanyi kila kitu
 
Asante sana kwa ushauri mzuri
 
Heshima kwako mkuu

Ki uhalisia hakuna sababu ya kusomea hayo mambo Ili uweze kumiliki duka la dawa ama hospitali, itakuchukua miaka mingi kusomea na bado hiyo elimu haihitajiki kwenye kumiliki, labda kuwa mfanyakazi.

Tumia wataalamu waliosomea hizo fani, na wewe jifunze uongozi. Healthcare management, hata short courses, online lessons etc itakuwa msaada zaidi kuliko clinical medicine ama pharmaceutical sciences
 
Back
Top Bottom