Dollarssein
Member
- May 15, 2023
- 9
- 13
Ushauri wa Kimaono Huu! Matajiri wengi wanatumia watu kufanikisha malengo yao!.Kama mtaji upo wa kutosha tumia watu kufikia ndoto na malengo yako. Namanisha ajili watu husika wenye fani ya kile unataka kufanya kisha wewe utabaki kuwa mkurugenzi mkuu. Huwezi kufanya kila kitu wewe mwenyewe, kingine muda unakimbia sana huo muda unaenda kusoma ni bora uanze kupambana muda huu kufika huko unataka. Mafanikio yapo katika watu, kila la kheri.
Asante sana kwa ushauri mzuriBiashara ina elimu kubwa
Binafsi nimesoma masomo ambayo ni tofauti na biashara ninayofanya.
#YBWA
Asante sana kwa ushauri mzuriUshauri wa Kimaono Huu! Matajiri wengi wanatumia watu kufanikisha malengo yao!.
Nb; Mtoa maada kama unahitaji kufikia malengo yako ajili watu wakufikishe pale unapopataka.. Mbeba maono hafanyi kila kitu

Asante sana😂😂😂Humu mitaani tunauziwa dawa na vitoto vilivyomaliza la saba. Ukimwambia akupe paracetamol anakwambia hakuna ila panadol anayo.