Mkuu,kuhusu ithbati kwa kutumia simu ili kutambua kua mtuhumiwa hakua eneo hilo,Athibitishe kama hakuwepo eneo siku ya tukio.
Namna ya kuthibitisha ni kwa kutumia Cyber report kwamba siku ya tukio simu yake ilikuwa inasoma eneo gani?
Mkuu,kuhusu ithbati kwa kutumia simu ili kutambua kua mtuhumiwa hakua eneo hilo,
Je kutakua na uhakika gani wa nani alikua anaitumia hiyo simu ya mtuhumiwa kwa wakati huo?