Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya Alarm System isinyonye betri

Mikanjuni

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
59
Reaction score
15
Wadau hapa na chuo kabisa cha ME,

Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri.

2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya gari IST na Suv

3. Asante wadau,
 
Inategemea ana amarm uliyofunga.
Baadhi zinakuwa na sensor, so muda mwingi inakuwa kwenye sleep mode.
 
Back
Top Bottom