M Mikanjuni Member Joined Jan 27, 2012 Posts 59 Reaction score 15 Jan 25, 2022 #1 Wadau hapa na chuo kabisa cha ME, Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri. 2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya gari IST na Suv 3. Asante wadau,
Wadau hapa na chuo kabisa cha ME, Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri. 2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya gari IST na Suv 3. Asante wadau,
JituMirabaMinne JF-Expert Member Joined May 4, 2020 Posts 3,381 Reaction score 9,744 Jan 25, 2022 #2 Mikanjuni said: Wadau hapa na chuo kabisa cha ME, Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri. 2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya gari IST na Suv 3. Asante wadau, Click to expand... Inategemea ana amarm uliyofunga. Baadhi zinakuwa na sensor, so muda mwingi inakuwa kwenye sleep mode.
Mikanjuni said: Wadau hapa na chuo kabisa cha ME, Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri. 2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya gari IST na Suv 3. Asante wadau, Click to expand... Inategemea ana amarm uliyofunga. Baadhi zinakuwa na sensor, so muda mwingi inakuwa kwenye sleep mode.