Naomba ushauri nichague gari ipi kati ya Toyota Spacio New Model na Toyota Ratics

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,399
Reaction score
1,014
saada tutani sijawahi miliki gari nataka mwisho wa mwezi huu ninunue gari Kati ya TOYOTA SPACIO NEW MODEL AU TOYOTA RASTICS SASA Wadau na wazoefu nipeni ushauri.
 
So spacio is the best .thank very much
Spacio is better than Ractis in consideration of many factors..
1. Muonekano wa spacio ni mzuri kuliko Ractis ambayo huku nyuma imekaa vibaya sana...yaani ractis huku nyuma imekaa kama fisi aliyekatwa mkia..[emoji51][emoji51]

2.Spacio ina nafasi kubwa sana ndani na hizi new model most of them ni seven seats....hivyo uhakika wa kubeba familia au marafiki bila kujibana upo

3.Spacio karibu zote ni 1.8 L....hivyo inakupa nguvu zaidi kwenye milima ukilinganisha na Ractis ambazo nyingi ni 13.L..

4.Spacio ni imara zaidi kwa upande wa body ukilinganisha na Ractis....spacio ni toleo la corolla.

5..Spea za spacio mapaka mama muuza samaki anazo...

6.Pamoja na kwamba spacio ni 1.8 L, fuel consumption yake inavumilika hata kwa mtu wa kipato cha chini bora uwe unaijali service nzuri..

7.Kutokana na ukubwa wa body na injini ya Spacio, uhakika wa safari ndefu upo na balance nzuri barabarani ukilinganisha na hiyo ractis..

8....Ukishanunua uipende nayo itakupenda....ukiichukia nayo itakuchukia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spare zake mpaka kwa mama muuza samaki.....................hahahahahaahahh dah! hatari sana.
Ukishindwa kumiliki spacio basi tena.....................
 
Back
Top Bottom