Darcityconfidential
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 351
- 367
Shukran sana. Ila nahitaji ushauri wa biashara ya kufanya. Eneo lipo around watu wengiMkuu unatakiwa hiyo biashara uanze Sasa kabla huja pata hiyo pesa Kwa kua biashara inahitaji uzoefu wa kuiendesha . Ukikurupuka utakuja kupata uzoefu kkipindi hela imesha kata
Mimi nilifikiria kufungua pub au lodge ila sponsor ni mtu wa dini sana. hapendelei biashara za aina hyo ndo maana nkaomba ushauriMshukur mung san kw kukup furs kma hiyo kwan weng hawaipat.....il kikubw m nhc inategemean n wew bnfc un interest n kitu gan n ni kip unhc ukifny unawez ukapiga htua mbele....ckatai unaomb ushauri ni jmbo zur pia ila binfc ukiachn n maamuz y wat wew mwenyw pia untkiw uwe n maamuz yko.