kachukue Loss report then Nenda NECTA , Mkuu utavipata,. kuhusu huvyo vya chuo Nenda Chuoni kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa chuo ila necta hawatoi cheti mara mbili. Watakachofanya watakupa mbadala wa cheti ila cheti original hawatoi kaabisa. Na sio swala la go and flow lazima wapate muda wa kujiridhisha.Ni immediately au na submit na kungoja?
Siku hizi NECTA wanatoa Mkuu.Sijui kwa chuo ila necta hawatoi cheti mara mbili. Watakachofanya watakupa mbadala wa cheti ila cheti original hawatoi kaabisa. Na sio swala la go and flow lazima wapate muda wa kujiridhisha.
unangoja lakin unapewa tarehe ya kufuata na havulichelewi sanaNi immediately au na submit na kungoja?
Habari za asubuhi wadau! Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript!
Nimejaribu tafuta contact za wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote Mpo: Nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu!
Natanguliza shukrani, naomba tu mnaojua mnisaidie maana sitaki kubahatisha kusafiri bila Kuwa na utaratibu sahihi....