Naomba ushauri nifanyeje ili nipunguzi kasi ya ulaji wa chakula kwa kuku?

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,727
Wafugaji habari!

Nimeanza ufugaji wa kuku aina ya kroiler, ila sasa changamoto ipo kwenye gharama za CHAKULA.. aisee wanakula balaa, na wana miezi 4 .

Naomba mnisaidie, njia nzuri au nini nitumie ili kupunguza hizi gharama za chakula.

View attachment 1424187

Karibuni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jitahidi kutengeza chakula wewe mwenyewe mfano minyoo ambayo ni chakula kizuri cha ndege hasa kuku kwani kina protini ya kutosha
 
Wafugaji habari!

Nimeanza ufugaji wa kuku aina ya kroiler, ila sasa changamoto ipo kwenye gharama za CHAKULA.. aisee wanakula balaa, na wana miezi 4 .

Naomba mnisaidie, njia nzuri au nini nitumie ili kupunguza hizi gharama za chakula.

View attachment 1424187

Karibuni

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukikubali kupunguza chakula,ukubali kupata mayai machache
 
Back
Top Bottom