Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Tengeneza mwenyewe chakula. Halafu wanapolala usiku hakikisha ni giza kali. Kuku akiwa na mwanga atakula mpaka asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kutengeza chakula wewe mwenyewe mfano minyoo ambayo ni chakula kizuri cha ndege hasa kuku kwani kina protini ya kutoshaWafugaji habari!
Nimeanza ufugaji wa kuku aina ya kroiler, ila sasa changamoto ipo kwenye gharama za CHAKULA.. aisee wanakula balaa, na wana miezi 4 .
Naomba mnisaidie, njia nzuri au nini nitumie ili kupunguza hizi gharama za chakula.
View attachment 1424187
Karibuni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu usitegemee kuku ukamwachia chakula kwenye mwanga akaacha kula, kuku huwa hawashibi hata kidogo. We zima taa kabisa!Haha nimekupata, aisee kweli kuna taa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukikubali kupunguza chakula,ukubali kupata mayai machacheWafugaji habari!