Naomba ushauri. Nihamie chama gani kati ya ACT Wazalendo na CCM?

Naomba ushauri. Nihamie chama gani kati ya ACT Wazalendo na CCM?

Hujitambui siasa ni itikadi nasio kumuangalia Mtu ukiwa notion hiyo utabadiri vyama Kila siku
 
Mkuu hayo ni majina tofauti tu, ila ni chama kimoja, jiunge na chochote kati ya hivyo viwili.
 
Wako watanzania Mil 68..

Wote wakiuliza tutajibu wangapi mkuu..

You are not influencing anyone... Siasa ni mapambano aidha ya haki su tumbo lako..

Pambana
 
Unalikimbia BOX, yaani unataka kuweka mpira kwapani bwa shee kisa Mbowe anagombea ha ha ha

Pambana si umechukua form ulifikiri mambo ni mepesi mepesi.
Huko unakotaka kwenda unafikiri nako utakuta kitonga???
 
Kwa nchi masikini unakuwa na vyama viwili kimoja cha woga ili usikamatwe na kingine cha kelele za chura
Au sio 😄
 
Back
Top Bottom