Wakubwa,
Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza.
Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi.
Nawaza kununua uwanja mkubwa kwa hiyo FEDHA yote 25 million ili angalau nipate square mita za kutosha kuanzia sq. Mita 1200+ LAKINI HOFU NI KUWA NAWEZA PATA DAR nje kabisa, yaani Dar vijijini huko na hata nikijenga bado nitakuwa nipo nje kabisa ya Dar (yaani nipo Dar vijijini) kitu ambacho hata kupata wapangaji wanaojielewa ni kazi.
Kwa hiyo FEDHA - 25 million kwa huku mkoani naweza pata eneo la ukubwa wa ekari mojo hapa MJINI na nikajenga apartment nzuri za kisasa.
Ikumbukwe kuwa hiyo 25 million ni kwa ajili ya kununua uwanja tu either DSM AU HAPA MAKAO MAKUU YA HUU MKOA NILIOPO, na sio ya kujengea.
Naomba ushauri wenu TAFADHALI: wapi niwekeze?
KARIBU KWA MAONI YAKO TAFADHALI 🙏🙏