Pinda Nhenagula
Member
- Jan 26, 2019
- 87
- 113
Natunza kwa mfumo wa kununua kuku afu nawaacha mpaka kilimoUvune miezi hii halafu utunze pesa mpaka msimu wa kilimo,kwanza huko kwenye vibarua utapata pesa ya kula tu Lindi hakuna mkulima mkubwa kwamba utapata pesa ya maana.fundisha tution
Mkuu mimi nipo kilwa kijiji kimoja kinaitwa ZINGA barabara ya kuelekea Liwale nipo kwenye miji ya wasukuma naunga unga kwani wewe upo wapi mkuuLindi uko sehemu gani boss
Nakushauri kwa Sasa nenda vijiji vifutavyo katafute mtaji wa kulima mwezi December kwani kipindi hiki Cha msimu wa korosho
1.NAMIYOMIYO MASASI VIJIJINI HUKO
2.NANYAMBA MTWARA VIJIJINI
UKIPATA MTAJI
RUDI WILAYA YA RUANGWA VIJIJINI
NENDA
1.NANJILINJI KAPIGE UFUTA utanishukuru
Kiongoz mm Ni mzaliwa wa kusiniMkuu mimi nipo kilwa kijiji kimoja kinaitwa ZINGA barabara ya kuelekea Liwale nipo kwenye miji ya wasukuma naunga unga kwani wewe upo wapi mkuu
Nipe mbinu za kutoka kimaisha kwa mkoa wa LINDI mkuu yaani natamani kufanikiwa ndgKiongoz mm Ni mzaliwa wa kusini
Ila kwa Sasa Niko mkoa wa songwe
Fanya hivyo kiongoz,
Songwe Wilaya ipi..?Kiongoz mm Ni mzaliwa wa kusini
Ila kwa Sasa Niko mkoa wa songwe
Fanya hivyo kiongoz,
Momba mzeeSongwe Wilaya ipi..?
0unajishughulisha na kazi gan mzee huko AFu fanya unichek kaka 0623217775 Nipo lindi,kilwa-zingaMomba mzee