permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
. Mwabhleja,Inawezekana lengo lako ni kutudishiwa fedha
Rufaa nakata mahakama ya wilaya ama sivyo?
Kuna mtu kanichanganya anadai hata mahakama ya wilaya haina jurisdiction ya kunimilikisha ardhi.
Amenishauri kwamba kuna mabaraza ya ardhi, hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ya mwanzo haina uwezo wa kusikiliza kesi zinazotokana na mauziano ya ardhiKama unataka kupinga adhabu aliyopewa na primary court (assuming ndo ilitoa hukumi) kata rufaa DC. Ila kama unataka possession ya kiwanja nenda baraza la ardhi na nyumba la wilaya uliopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
You may wish to revisit my comment and relook the thread to which my comment originated thereof.Mahakama ya mwanzo haina uwezo wa kusikiliza kesi zinazotokana na mauziano ya ardhi
Sent using Jamii Forums mobile app
You may wish to revisit my comment and relook the thread to which my comment originated thereof.
Sent using Jamii Forums mobile app
Primary court imetoa hukumu kwenye criminal case which is not disputed ndo mana nikashauri kama hajaridhika na hio hukumu aende DC and if anataka possession ya land aende DLHT iliyo eneo lake. Jifunze kusoma btwn lines.Assumption lazima iwe na correct premises, hakuna assumption ya primary court kutoa maamuzi katika mambo ya umiliki wa ardhi, nothing to be re-visited.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujiulize kama serikali za mitaa wanatambua hayo mauziano je hao watu wana akili timamu au ni machizi? Unawezaje kuidhinisha documents za mauziano ya kiwanja kwa watu wawili tofauti na anaeuza ni yule yule alieuza mwanzo?Yes
Ambapo kama mliuziana chini ya mwenyekiti au mtendaji wa serikali ya mtaa husika, nae ataitwa na baraza la ardhi
Mliuziana kivipi kwanza? Chini ya serikali ya mtaa? Wenyewe binafsi tu? Au chini ya advocate?