Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea

Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi kuzoeleka wala kuhishi kwa mazoe. Huu mwezi umekuwa na kanuni na taratibu zake ila Mungu ni mwema tunaenda kuumaliza 💪💪💪💪.
Note: Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea na journalism tena pia hajui diploma akachukue kozi gani ila matokeo yake ya form yalikuwa hivi;-
Civics-C
Hist-C
Geo-C
Kisw-C
Bios-D
English-C
Math-F

Naomba ushauri wa kozi gani itaendana na ushawishi wa soko la fursa kwa sasa ? Karibu 🙏
 
Back
Top Bottom