Naomba ushauri:Nina nusu heka,nahitaji kulima Nyanya

Naomba ushauri:Nina nusu heka,nahitaji kulima Nyanya

brownroger_

New Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Habari wapendwa,nina nusu heka ya shamba nahitaji kulima nyanya...je, ni kiasi gani cha pesa naweza kugharamia kuanzia ununuzi wa miche mpaka kufikia kuvuna wapendwa
 
Back
Top Bottom