B brownroger_ New Member Joined Oct 26, 2018 Posts 3 Reaction score 3 Dec 26, 2018 #1 Habari wapendwa,nina nusu heka ya shamba nahitaji kulima nyanya...je, ni kiasi gani cha pesa naweza kugharamia kuanzia ununuzi wa miche mpaka kufikia kuvuna wapendwa
Habari wapendwa,nina nusu heka ya shamba nahitaji kulima nyanya...je, ni kiasi gani cha pesa naweza kugharamia kuanzia ununuzi wa miche mpaka kufikia kuvuna wapendwa
Guerreiro JF-Expert Member Joined Dec 22, 2018 Posts 736 Reaction score 1,134 Dec 26, 2018 #2 Ungetoa maelezo ya kutosha ulipo ili wajue gharama kuliko na eneo.
B brownroger_ New Member Joined Oct 26, 2018 Posts 3 Reaction score 3 Dec 26, 2018 Thread starter #3 Guerreiro said: Ungetoa maelezo ya kutosha ulipo ili wajue gharama kuliko na eneo. Click to expand... Eneo lipo mvuti-mbagala na nilikuwa nahitaji kufanya kilimo cha kawaida si cha green house
Guerreiro said: Ungetoa maelezo ya kutosha ulipo ili wajue gharama kuliko na eneo. Click to expand... Eneo lipo mvuti-mbagala na nilikuwa nahitaji kufanya kilimo cha kawaida si cha green house
Guerreiro JF-Expert Member Joined Dec 22, 2018 Posts 736 Reaction score 1,134 Dec 26, 2018 #4 Unatumia maji ya kisima au unatumia mfereji? brownroger_ said: Eneo lipo mvuti-mbagala na nilikuwa nahitaji kufanya kilimo cha kawaida si cha green house Click to expand...
Unatumia maji ya kisima au unatumia mfereji? brownroger_ said: Eneo lipo mvuti-mbagala na nilikuwa nahitaji kufanya kilimo cha kawaida si cha green house Click to expand...
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,532 Reaction score 2,415 Dec 26, 2018 #5 Najifunza hapa
Easyway JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 2,606 Reaction score 3,710 Dec 30, 2018 #6 Kuna uzi utafute unaelezea mambo mengi kuhusu nyanya,utakusaidia. Sent using Jamii Forums mobile app Gugo -wakulima wa nyanya tubadilishane uzoefu.
Kuna uzi utafute unaelezea mambo mengi kuhusu nyanya,utakusaidia. Sent using Jamii Forums mobile app Gugo -wakulima wa nyanya tubadilishane uzoefu.