Me ni mdada mwenye umri wa miaka 25 nimekuwa nikipata vichomi sehemu za siri haswa siku ya 12-15 ya mzunguko wangu wa hedhi. Yani vichomi vinakuwa vikali hata kutembea inakuwa kazi,mara nyingine vinachoma nikiwa mbele za watu napiga kelele.[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Naomba mnisaidie kujua kama kuna dawa yake au nifanye nini ili visiwe vinatokea.
Ahsanten[emoji120]