Naomba Ushauri: Rafiki yangu alinidharau na kuniambia nanuka sasa ananiomba msamaha na anamtaka mume wangu

Mimi ni mtoa ushauri hivi ni visa watu wanaoomba ushauri
Inabidi uwe specific na utoe ufafanuzi mwanzoni ili watu waelewe kwamba unasimulia kisa cha mtu fulani...

Vinginevyo watu watajua wewe ni mhusika mwenyewe.
 
Toka lini george aloyce akawa Mama wa watoto wa3.
Tuanzie hapo kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…