Naomba Ushauri: Rafiki yangu alinidharau na kuniambia nanuka sasa ananiomba msamaha na anamtaka mume wangu

george aloyce msalimie sana mume wako
 


Kweli akili huna, watakushauri wengine.
 
nitaongelea kwenye kunuka tu. kuna dada mmoja, mke wa jamaa ana pesa tu, ni mdada mnene mnene fulani hivi, kuna siku tulisafiri pamoja mazishi mkoa fulani, sijawahi kuona harufu mbaya kama ile hadi sijui jamaa huwa anaishi naye vipi. ananuka kikwapa kikali kama anasukuma mkokoteni, usoni mzurii, nguo kavaa za garamaa ila linatoa mijasho na linanuka balaa. wanawake mjiheshimu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…