Mara ya kwanza nilikuwa napost hapa kwa walioajiriwa but hawalipwi mshahara na kuamua kujiongeza twende point
Nimejiongeza na hitaji kujenga location Kigambon wenyeji nikaribisheni ni sehem gani nzuri ya kununua kiwanja na yenye utulivu wa hali ya juu mm sina ujuzi sikuwahi kujenga hivyo kama kutakuwa na fundi basi aje tuyajenge au mwenye idea ya kujenga basi tuwasiliane natarajia mwezi wa 3 kuanzia kuanza project hiyo