Naomba ushauri:Shule nzuri ya kwa Mwanafunzi wa Form One

REMSA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
2,579
Reaction score
956
Mwanangu yuko darasa la saba anajiandaa kufanya mtihani wa drs la saba,
please naomba ushauri shule nzuri ya Boys ya Private ya kumpeleka,ni mzuri
sana darasani in short ni genius,ila mwanangu ni mpole sana na hapendi mazingira
ya vurugu.Kwa sifa hizi please naomba ushauri wa shule nzuri ya sec.ya kumpeleka.
Niko Dar haijalishi shule iko wapi ila nzuri yenye waalim wazuri na maadili mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…