Naomba ushauri tafadhali

Naomba ushauri tafadhali

Blogboy12

Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Habari,Tafadhali naomba ushaur wenu,napenda kuwa mwandishi wa habari hapo baadae.Nilijiunga na Young Reporter Academy ya South London kupitha Online kama reporter wao kutoka tanzania.baada ya kumaliza mkataba nao walintumha CV.Sasa napga kazi na Youth Journalism International ya US JE NAWEZA KUFKHA NDOTO XANGU KUPITIA HZ ACADEMY?
 
Back
Top Bottom