Naomba Ushauri: Taratibu za kisheria kuanzisha chuo ngazi ya cheti na stashahada

makofia360

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
776
Reaction score
2,392
Kwa muda mrefu nimekuwa na ndoto katika uhalisia kuja kumiliki chuo kitakachokuwa kinatoa kozi mbali mbali katika ngazi ya Certificate na Diploma. Kozi hizo ni:-

-Uhudumu Wa ndege.

-Uhudumu wa Mahotelini.

-Utangazaji wa Radio na Tv.

-Teknologia ya kompyuta.

Hivyo napenda kuomba muongozo ili kije kuwa kisheria hapa Tanzania. Kwa heshima napenda kuwasilisha kwenu Waungwana.

NOTE: Chuo hiki ni kwa msaada wa watu kwa makubaliano maalumu.
 
kuna jukwaa la elimu mkuu labda utapata ushauri huko
 

Ni Pm Nita Kusaidia Mi Tayari Nina Majengo Na Nilikua Na Tegemea Kufungua Chuo Cha Uuguzi Na Kozi Zingine.
Au Kama Upo Tayari Njoo Tufanye Partinaship

Kwamawasiliano.
Email; mhanilaibrahim@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…