J Jaydean Member Joined Jul 5, 2011 Posts 16 Reaction score 1 Aug 28, 2011 #1 Ninatatizo ambalo nahijaji ushauri.Mafuta yoyoyte nikipaka ninatoka rashes na kuwashwa pale nilipopaka yale mafuta.Nimepima allerge lakini sikuonekana na tatizo.Hali hii inanisumbua na kuninyima raha,naomba ushauri tafadhali.
Ninatatizo ambalo nahijaji ushauri.Mafuta yoyoyte nikipaka ninatoka rashes na kuwashwa pale nilipopaka yale mafuta.Nimepima allerge lakini sikuonekana na tatizo.Hali hii inanisumbua na kuninyima raha,naomba ushauri tafadhali.
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 Aug 28, 2011 #2 mafuta gani?? lotion?.... ebu tafuta lotion yaolievera.....kama upo maeneo ya joto, si lazima sana kupaka mafuta hasahasa usoni.
mafuta gani?? lotion?.... ebu tafuta lotion yaolievera.....kama upo maeneo ya joto, si lazima sana kupaka mafuta hasahasa usoni.
J Jaydean Member Joined Jul 5, 2011 Posts 16 Reaction score 1 Aug 28, 2011 Thread starter #3 Asante,Ni lotion ndio zinanisumbua sana.Ni mwili mzima sio usoni pekee.Nimejaribu olievera lakini haikunisaidia.
Asante,Ni lotion ndio zinanisumbua sana.Ni mwili mzima sio usoni pekee.Nimejaribu olievera lakini haikunisaidia.
kamili JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,217 Reaction score 853 Sep 9, 2011 #4 Ni kipimo gani ulichopima hata useme umepima allergy? Naomba toa jibu tukupatie msaada.
K Kereto Member Joined Jul 20, 2008 Posts 17 Reaction score 1 Sep 13, 2011 #5 jaribu kurudia mafuta ulokuwa unatumia mwanzoni km umebadili aina ya mafuta unayotumia. pia inawezekana tatizo lipo kwenye maji unayotumia kuoga or hata nguo. au chunguza hata mazingira yawezekana kuna vitu vinakusababishia huo muwasho tofauti na mafuta. ushauri zaidi. napaiya@hotmail.com
jaribu kurudia mafuta ulokuwa unatumia mwanzoni km umebadili aina ya mafuta unayotumia. pia inawezekana tatizo lipo kwenye maji unayotumia kuoga or hata nguo. au chunguza hata mazingira yawezekana kuna vitu vinakusababishia huo muwasho tofauti na mafuta. ushauri zaidi. napaiya@hotmail.com