Naomba ushauri tatizo nini?

Naomba ushauri tatizo nini?

Joined
Nov 11, 2019
Posts
58
Reaction score
70
Habari za jioni wakuu,

Napatwa na changamoto ya malalamiko kila ninapokutana na mwanamke kimwili analalamika tumbo linamuuma chini ya kitofu.

Na afadhali hata angelikuwa mmoja lakini kila ninaekutana nae nikimaliza tu kusex nae akikaa kwa muda wa masaa 3 ananiambia tumbo linamuuma.

Tafadhali wakuu mwenye ujuz na ishu hii anisaidie
 
Back
Top Bottom