kaka ushauri wangu , angalia kwa makini interblocking zilikuja na zikaanza kuvuma sasa zimepotea watu wanajengea ukuta tu . Usikubali kufanya majaribio subiri technology hiyo itumike kwanza then uone ila bora tumia tofali za kawaida zenye ratio bora
Asante kwa taarifa, je kwanini waliacha kuzitumia kujengea?
kila kitu huenda kwa mipango!!Waungwana hapa kwetu watu wanamatumaini kibao kuwa Dr. Slaa atachaguliwa kuwa Rais.ila wasiwasi nikwa hawa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi maana raia wamesimamisha ujenzi wakisubiri bei ya cement ishuke ambapo sasa mfuko mmoja wa cement ni sh.20000 na Dr.alituahidi kuwa tutanunua kwa sh.5000.nilijaribu kuongea na baadhi ya wafanya biashara wakamuomba Dr. awafikirie kwamba atawasaidiaje maana mzigo hautoki na wanananchi wakisubiri mh aapishwe na kufuta kodi ya vifaa vya ujenzi ili waendelee na ujenzi.
wakati wananchi wakiwa wamesimamisha ujenzi kwa muda kusubiri tumaini Jipya
wafanyabiashara wanauliza Dr.waukweli atawasaidia vipi kwani wanastock kubwa na wengine contena ziko njiani.
???????????mimi mwenyewe nimesitisha kuifuata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Waungwana hapa kwetu watu wanamatumaini kibao kuwa Dr. Slaa atachaguliwa kuwa Rais.ila wasiwasi nikwa hawa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi maana raia wamesimamisha ujenzi wakisubiri bei ya cement ishuke ambapo sasa mfuko mmoja wa cement ni sh.20000 na Dr.alituahidi kuwa tutanunua kwa sh.5000.nilijaribu kuongea na baadhi ya wafanya biashara wakamuomba Dr. awafikirie kwamba atawasaidiaje maana mzigo hautoki na wanananchi wakisubiri mh aapishwe na kufuta kodi ya vifaa vya ujenzi ili waendelee na ujenzi.
wakati wananchi wakiwa wamesimamisha ujenzi kwa muda kusubiri tumaini Jipya
wafanyabiashara wanauliza Dr.waukweli atawasaidia vipi kwani wanastock kubwa na wengine contena ziko njiani.