Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
Waungwana hapa kwetu watu wanamatumaini kibao kuwa Dr. Slaa atachaguliwa kuwa Rais.ila wasiwasi nikwa hawa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi maana raia wamesimamisha ujenzi wakisubiri bei ya cement ishuke ambapo sasa mfuko mmoja wa cement ni sh.20000 na Dr.alituahidi kuwa tutanunua kwa sh.5000.nilijaribu kuongea na baadhi ya wafanya biashara wakamuomba Dr. awafikirie kwamba atawasaidiaje maana mzigo hautoki na wanananchi wakisubiri mh aapishwe na kufuta kodi ya vifaa vya ujenzi ili waendelee na ujenzi.
wakati wananchi wakiwa wamesimamisha ujenzi kwa muda kusubiri tumaini Jipya
wafanyabiashara wanauliza Dr.waukweli atawasaidia vipi kwani wanastock kubwa na wengine contena ziko njiani.
kabla ya kuanza kwa mfumo mpya wa kutotoza kodi kwenye vifaa vya ujenzi ni lazima kuwe na kipindi cha mpito,ili kuratibu madhara makubwa kwa wafanyabiashara wenye bidhaa kwenye maghala yao.
Halafu inawezekana wewe una familia na watoto pia.Waungwana hapa kwetu watu wanamatumaini kibao kuwa Dr. Slaa atachaguliwa kuwa Rais.ila wasiwasi nikwa hawa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi maana raia wamesimamisha ujenzi wakisubiri bei ya cement ishuke ambapo sasa mfuko mmoja wa cement ni sh.20000 na Dr.alituahidi kuwa tutanunua kwa sh.5000.nilijaribu kuongea na baadhi ya wafanya biashara wakamuomba Dr. awafikirie kwamba atawasaidiaje maana mzigo hautoki na wanananchi wakisubiri mh aapishwe na kufuta kodi ya vifaa vya ujenzi ili waendelee na ujenzi.
wakati wananchi wakiwa wamesimamisha ujenzi kwa muda kusubiri tumaini Jipya
wafanyabiashara wanauliza Dr.waukweli atawasaidia vipi kwani wanastock kubwa na wengine contena ziko njiani.
Wakuu ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya real estate kwa huku kwetu. Msi shangae kuona siku hizi nipo huku sana ila nimeona tu kujadili siasa kila siku hakutu saidiii sisi wananchi wa kawaida bora tuji shighulisha na ujasiriamali na sisi Mungu atujalie tufanikiwe.
Anyway mimi bado nipo chuoni na nipo katika harakati ya kuandika business plan kuhusu biashara ya nyumba. Wazo langu ni ujengaji wa nyumba za bei nafuu ambazo mwananchi wa kawaida ana weza kumudu. Gharama za nyumba ninazo fikiria ni kati ya milioni 5 hadi 15.
Sababu ya kutaka kufanya nyumba za bei nafuu ni hizi
1. Bado sija jijenga vya kutosha kuwezi kumudu nyumba za gharama. Nime fikiria kwamba nyumba za bei nafuu una weza kuanza nazo chache na pia nahisi upatikanani we mkopo benki utakuwa rahisi zaidi.
2. Henry Ford wa Marekani alieanzisha kampuni za magari ya Ford alit umia logic kwamba kutengeneza magari ya bei nafuu kuta ongeza idadi ya watu wanao weza kuya nunua. Kwa maana hiyo hata kama magari yake hayata kuwa ghari watu wengi kuya mudu ina maanisha ukubwa zaidi wa soko.
Kwa kutengeneza nyumba za bei nafuu natumai Watanzania wengi zaidi wata weza kumudu na biashara ita kuwa na soko kubwa zaidi ya kukua.
Ningependa kuuliza maswali yafuatayo.
1. Sehemu gani yenye viwanja nafuu. Kwa maana viwanja vina changia kwa kiasi kikubwa bei za nyumba.
2.Ni sehemu gani marketable?
3. Je kwa milioni tano hadi kumi na tano una weza kujenga nyumba yenye ukubwa kiasi gani na yenye features zipi?
Msi shangae maelezo yangu yako broad sana kwa maana natarajia kwa jinsi mjadala utakavyo kwenda ndiyo tutaingia kwenye specifics. Kwa sasa mtaji sina ila nataka kuanza kujifunza na kuandaa kuandika business proposal yangu. Natarajia baada ya hapo nitafute pesa za kujenga nyumba hizi 3 hadi tano kwa kuanzia. Natumai kwenye nia kuna njia.