D'MAN cement hutengenezwa kwa kutumia clay+sandstone+limeston=raw meal alafu raw meal ikichomwa either kwa coal au gas unapata clinker.
Clinker+Gypsum+Additive=cement
Aditive yaweza kuwa limestone kama twiga au pozolana kama ya Mbeya na Tanga
Ukiangalia vyote ivyo ni vitu vinavyochimbwa ardhini na vingi vyapatikana Tz
Gharama ya cement inakuwa driven hasa na umeme kuna makampuni yanalipa mpaka 300mill kama bill ya umeme.
Slaa akiingia madarakani akahakikisha no coal importation tuchimbe ya mchuchuma/ngaka/kiwila na kuhakikisha kuwa kuna usafili reliable via train (cheap/bulky)ie TRC NA TAZARA bila kusahau cheap energy kwa kuwa tuna Uranium Namtumbo.
Kama cement ya Pakistan inafika apa kwetu na kuuzwa kwa 9000 kwa mfuko why not 5000tshs.
Ila mkumbuke kuwa as long as hiyo itakuwa bei ya kiwandani.
Mimi nataka kusema kwamba kama raw material zipo na umeme upo basi uwezekano wa serikali ya jamhuri ya Muungano ya Tanzania kuuza mfuko wa cement kwa 4,000 inawezekana kabisa. sababu na uwezo inayo kabisa kama itatoa subside kwa wananchi wake , na hilo lawezekana kama mianya ya mafisadi itabanwa kikamilifu. hapo nyumba bora kwa kila Mtanzania itawezekana, barabara nzuri za saruji vijijini zitawezekana, nyumba bora za Walimu zitawezekana, ujenzi wa malambo ya kisasa kwa kutumia teknolojia ya kusambaza maji vijijini itawezekana,utengenezaji wa bomba za saruji kwa ajili ya kupitisha maji ya mvua na maji taka mjini Dar itawezekana, etc....etc...ikiwa hata ofisi za Chama Cha Mapinduzi chenyewe kuwa na ofisi zilizojengwa kisasa zaidi ukilinganisha na za sasa.