Naomba ushauri: Technolojia ya ujenzi wa gharama nafuu Tanzania

Usifikirie kizembe. The lower the price the higher the demand, but inorder to maximize revenue within low priced market inahitajika kuongeza supply.

Mheshimiwa nimekupata lakini chanzo cha NENO ULANGUZI ni uzalishaji mdogo kuliko demand. Hivi Watanzania 80% ni wakulima wote wakiamua kujenga nyumba za saruji hivyo viwanda vitatu vitamudu?
 
What about Equillibrium point?

Kama bei ikishuka mahitaji (demand yataongezeka) na kama ugavi (supply) hautaongezeka soko litapandisha bei kufikia point of DEMAND=SUPPLY

Very good point: this is economics. Wachumi wanaomshauri Dr Slaa wanawashangaza hata walioandika theory za demand na supply.

Anachotuambia Dr Slaa ni kwamba atapingana na kanuni za supply na demand zinazowianisha demand na supply at equilibrium, then tutarudi kule kule kwenye technical inefficiency za kipindi cha siasa za ujamaa.
 

Mkuu kuna ukweli kuhusu yanayosemwa, lakini to be more specific ni kwamba inapunguza gharama za kujenga kuta, sio gharama za nyumba nzima. Maana ukiangalia kwa undani utaweza kuona unatumia cement chache zaidi. Kama nyumba nzima ilitakuwa kugharimu milioni 50, na kuta peke yake zingegharimu milioni 25, basi ukitumia interlocks unaweza kugharamia milioni 15 au chini. Lakini kuna mahali pengine wanakukamata, interlocks are some how tricky.
 
MwanaFalsafa aliuliza swali la uwezekano wa kujenga nyumba kwa gharama kati ya milioni tano na milioni kumi na tano. Kama kuna mtu ana contact zake (Falsafa) tafadhali mshtue aje atazame bei ya saruji kwenye huu mtiririko. Hii thread inaonyesha gharama afadhali, za saruji. Labda, probably, Cement is overpriced. A response to the market, Simple economy guyes, remember? Supply and Demand (dont get confused, you know the stuff. We dont need school for this one. Just go down the street, you will hear the same mantra, cement shida). its ok, for profeteer but counter production in a growth development of a Housing sector. Which by the way It is the sector that govenment needs to focus because it create wealth in the long run. And again, based on this thread, it seems constraction materials are a little hefty of many. just think about it, and think about per capital income of a mwananchi, you find his/her chance to own a home is quite a distance imagination.
 
Pia kwa ushauri zaidi waweza kutembelea ofisi ya veta iliyo karibu nawe.
 
I can not believe that four years after you made your point, today I have just said almost similar lines in response to the probability of having affordable housing in Tanzania. I think its time to do it now. let's have a sense of urgency on this project. It will be an open book for public policy on innovation in sustainable environment. If the people can get a ten million or even fefteen, I think it will be a boost on economic recovery. Economically speaking, we are in a hole. We going to crate jobs.
 
angalia kwenye website za compressed earth bricks,waweza kujenga nyumba bora kuliko na hayo matofari ya mchnga na cememt.nimejenga kwangu kaole na nina endelea kujenga kutumia compressed earth bricks
 
i have been making compressed earth bricks for 2 years in kaole,i have build a small house walls.and lots more
 
i have been making compressed earth bricks for 2 years in kaole,i have build a small house walls.and lots more

Hello.. Are you still making compressed earth bricks? Are they for sale? Can you send us a pic of the bricks?
 
kaka ushauri wangu , angalia kwa makini interblocking zilikuja na zikaanza kuvuma sasa zimepotea watu wanajengea ukuta tu . Usikubali kufanya majaribio subiri technology hiyo itumike kwanza then uone ila bora tumia tofali za kawaida zenye ratio bora

Kila mtu akiwa na mawazo kama yako tuta advance kweli?
 
solution will come on due date.................inamaana hata watu wameacha kupeleka watoto wao shule wakisubiri elimu ya bure?...................u're a gud lier

Hshaahahahaaaaa
 

Mkuu mimi napenda kujua wazo lako lilifika wapi...
 
Wachangiaji wengi mmekua kinadharia zaidi na madudu mengi ya uchumi. Ukweli nikua gharama za ujenzi sio matofali, hata ukitazama changamoto katika ujenzi hua ni kuanzia kuezeka, milango, madirisha n.k.

Usitegemea kuokoa pesa kwenye ujenzi kwa kubana kwenye matofali. Tuwe wakweli tu. Gharama za ujenzi sio boma.
 
kama walivyosema wadau ujenzi wa nyumba gharama yake kubwa ni kwy finishing na si kingine unaweza ukaanzia msing mpak linta kwa mill.9 nyumba ya vyumba vitatu-(one master room kitchen sitting rooom store dining) ila kupaua kama bati ni msouth inagota kama 5m bado madirisha kama ya chuma(grill moja ni 125000 mpk 150,000 kama yapo kumi na milango miwili ujue ni 1.6 bado ripu nje na ndani skimming rangi gypsum board milango vioo aluminium,milango ya ndani mbao mlango mmoja ni 315,000 kama ipo 8 ni 2.5m sjaweka tiles yaan approimately kama 25m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…