Naomba ushauri ujenzi wa uzio wa nyumba

Naomba ushauri ujenzi wa uzio wa nyumba

Ngosha Kogema

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
34
Reaction score
3
Habari wana JF, jana usiku kibaka kabenjua luva za madirisha nyumbani kwangu na kufanikiwa kuondoka na simu HTC ya wife! Kotokana na tukio hili imenibidi long term plan yangu ya kujenga uzio iwe ni emergency plan kunusuru majanga mengine. Naomba ushauri ktk bajeti ya 7M Uzio upi utafaa kati ya hizi...
1. Ukuta wa tofari za kuchoma na square pipe au nondo
2.ukuta wa tofari za block na square pipe au nondo
3. Uzio wa waya
uzio utakuwa na urefu wa mita 50 kwa 17. Nitafurahi pia kupata design kwa wale wataweza kuambatanisha picha kwa Msaada zaidi.
Asanteni.

Nawasilisha.
 
Million 7 zote hizo, huo uzio unajengea wapi? Mbona kama hizo pesa ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom