Naomba Ushauri wa biashara ya haisi

jery tarimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
207
Reaction score
127
Wandugu kuna kahela natarajia kukapata kiasi flani na natarajia kuchukulia dirishani (mkopo) na ili kufikia rejesho lao la mwezi inabidi nifanye biashara yenye kupata hela ya kutosha.

Wazo langu limeangukia kweny biashara ya gari hiace mwenye uelewa msaada tafadhali.
 
Inalipa, jambo la muhimu ni kupata Dereva mchapa kazi, mwaminifu na mtunzaji, pia mkumbuke Mungu kwa kutoa sadaka ya Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…