Naomba ushauri wa biashara ya ushonaji nguo

Naomba ushauri wa biashara ya ushonaji nguo

musa12

New Member
Joined
May 24, 2020
Posts
2
Reaction score
2
Wadau mimi ni mjasilimali mshonaji wa suit ni fundi mzuri sana na nnataka nianze kujtegemea kwenye ofisi yangu binafs na nnataka niwe maarufu na nitengeneze brand wenye uzoefu wanipe mawazo. Wadau
Pia msisahau kwa wanaotaka suit 0677282281 whatsapp and call nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom