Selemani See
Member
- Aug 27, 2023
- 20
- 30
Ngoja wajuvi waje.ila pia unaweza jaribu kupitia nyumba kwa nyumba ukiuliza kam wanavitabu walivyosomaga na hawavisomi tena,,,,mf mi vitabu vyangu hard copy vyote niliuza baada ya kupata softcopy yake niliwauzia wale wauzaj wa madukani, kwasasa nimebaki navyo viwili Think Big cha Ben carson na Unanswered cries navitaftia wateja tena.Ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada.
Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba).
Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used.
Binafsi, naomba kujua huwa wanavilangua wapi?
Biashara kichaa isiyo na mzunguko. Hata bookshop ni biashara iliyopitwa na wakatiNi matumaini yangu kuwa hamjambo.
Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada.
Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba).
Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used.
Binafsi, naomba kujua huwa wanavilangua wapi?
Nimefurahi sana aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah biashara ya vitabu used! Aisee kila mtu ana idea yake ya biashara kwa kweli! Wabongo walivyo wavivu kusoma[emoji23]
Vizuri mkuuNgoja wajuvi waje.ila pia unaweza jaribu kupitia nyumba kwa nyumba ukiuliza kam wanavitabu walivyosomaga na hawavisomi tena,,,,mf mi vitabu vyangu hard copy vyote niliuza baada ya kupata softcopy yake niliwauzia wale wauzaj wa madukani, kwasasa nimebaki navyo viwili Think Big cha Ben carson na Unanswered cries navitaftia wateja tena.
😁😁Daah biashara ya vitabu used! Aisee kila mtu ana idea yake ya biashara kwa kweli! Wabongo walivyo wavivu kusoma😂