Naomba ushauri wa biashara

Naomba ushauri wa biashara

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
mimi ni kijana niliyemaliza form six, nimepata kamtaji shilling milioni moja, nataka kufanya biashara, ila mpaka sasa sijui nifanye biashara gani, naombeni ushauri wenu wanajamvi.
 
Hello Mr. Pindima,

Mimi nikashauri kutokutoa maamuzi ya kufanya biasha kutokana na kiasi cha pesa ulizokuwa nazo kwani bali kutokana na vitu vifuatavyo:

1. What is your passion (Kitu gani unakipenda sana)
2. Je hicho kitu kina soko.
3. Unahitaji kujifunza vitu gani kuwa mzuri katika hiyo passion yako?

Focus zaidi kwenye kukuza ujuzi wako wa biashara kuliko kutengeneza pesa.

Kupata mafunzo zaidi, kuna course natoa bure online. Tembelea tovuti hii: FREE Strategic Marketing Course For Small & Medium Sized Business Owners

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dr. Said is a medical doctor (MD), Entrepreneur and a home based business coach. He's the current CEO of Strategic Marketing & Design, a company which helps business owners increase their profits using strategic marketing.

He spends most of his FREE time blogging about business, entrepreneurship and marketing on his blog site SaidSaid.Net.
To learn more from him, make sure you subscribe to his FREE Strategic Marketing Course.
 
@Pidima,
Mazingira, elimu, interest vinatosha kuamua biashara gani unaweza kufanya. . .
 
ok shukran nitaifatilia hiyo blog najua itanipa mwanga
 
mimi ni kijana niliyemaliza form six, nimepata kamtaji shilling milioni moja, nataka kufanya biashara, ila mpaka sasa sijui nifanye biashara gani, naombeni ushauri wenu wanajamvi.

NiPM nikuunganishe na mdau mmoja ana asasi ya kifedha inayotoa mikopo kwa mwezi, ili uwekeze fedha yako awe anakupa iterest kila mwezi kwa kadiri mtakavyokubaliana.
 
Back
Top Bottom