Naomba ushauri wa dawa gani nzuri naweza kutumia kufanya Fumigation kwenye nyumba

kigoma1

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
26
Reaction score
7
Habari za majukumu.

Ninaishi sehemu kuna mbu wengi Sana, na malaria ni hatari.

Ninatamani kufanyia farmigation nyumba nzima Kwa lengo la kuuwa mbu, mende, mijusi na wadudu wengineo.

Naomba ushauri Kwa dawa gani nzuri nitumie itasaidia.

Àhsanteni
 
Kuna sumu moja ilikua inapigwa wakati tupo shule aisee ile ilikua kiboko ilikua inauwa mpaka wanyama wadogo wadogo kama panya, nyoka, mijusi na kenge wadogo pia ilimaliza wadudu kama chawa, kunguni papasi na mbu

Nasikitika mpaka naondoka sikupata kujua ni sumu gani wala hata kuona kopo lake.
 
Shule gani tuwapigie,hapa kuna vinyoka vinaroute za hapa na pale
 
Back
Top Bottom