Naomba ushauri wa haraka naibiwa.

Naomba ushauri wa haraka naibiwa.

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,181
Reaction score
6,813
nilimaliza
chuo 2003 nililipiwa na serikali bila mashart yoyote,mwezi huu board ya
mikopo imeanza kunikata eti mkopo wa almost mil.4 mi hii board siijui
wala skuwahi kuingia mkataba nao naomba ushauri nafikiria kwenda
kuwafungulia kesi.
 
plz nenda board ya mikopo kwanza ukapate maelezo then utajuwa cha kufanya.
 
Back
Top Bottom