Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,181 Reaction score 6,813 Feb 1, 2013 #1 nilimaliza chuo 2003 nililipiwa na serikali bila mashart yoyote,mwezi huu board ya mikopo imeanza kunikata eti mkopo wa almost mil.4 mi hii board siijui wala skuwahi kuingia mkataba nao naomba ushauri nafikiria kwenda kuwafungulia kesi.
nilimaliza chuo 2003 nililipiwa na serikali bila mashart yoyote,mwezi huu board ya mikopo imeanza kunikata eti mkopo wa almost mil.4 mi hii board siijui wala skuwahi kuingia mkataba nao naomba ushauri nafikiria kwenda kuwafungulia kesi.
K kichwaones JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 399 Reaction score 49 Feb 1, 2013 #2 plz nenda board ya mikopo kwanza ukapate maelezo then utajuwa cha kufanya.