Naomba ushauri wa hizi TV za TCL

Naomba ushauri wa hizi TV za TCL

Kishnajr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
407
Reaction score
392
Habari wakuu, naomba ushauri kidogo kwa yeyote mwenye uzoefu wa hizi TV za TCL
Kuhusu ubora, uangavu wa picha, pia changamoto zake.

Kuna jamaa anataka aniuzie inchi 32 kwa 270000. Atakuwa ananipiga au ikoje?
 
Back
Top Bottom