Kishnajr JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 407 Reaction score 392 Sep 30, 2024 #1 Habari wakuu, naomba ushauri kidogo kwa yeyote mwenye uzoefu wa hizi TV za TCL Kuhusu ubora, uangavu wa picha, pia changamoto zake. Kuna jamaa anataka aniuzie inchi 32 kwa 270000. Atakuwa ananipiga au ikoje?
Habari wakuu, naomba ushauri kidogo kwa yeyote mwenye uzoefu wa hizi TV za TCL Kuhusu ubora, uangavu wa picha, pia changamoto zake. Kuna jamaa anataka aniuzie inchi 32 kwa 270000. Atakuwa ananipiga au ikoje?
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Sep 30, 2024 #2 Kama haina tatizo na haina muda mrefu sana tokea ainunue (pia iwe Android tv) chukua tu Mzee zipo fresh
Kama haina tatizo na haina muda mrefu sana tokea ainunue (pia iwe Android tv) chukua tu Mzee zipo fresh
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 3,983 Reaction score 10,034 Sep 30, 2024 #3 Kishnajr said: Habari wakuu, naomba ushauri kidogo kwa yeyote mwenye uzoefu wa hizi TV za TCL Kuhusu ubora, uangavu wa picha, pia changamoto zake. Kuna jamaa anataka aniuzie inchi 32 kwa 270000. Atakuwa ananipiga au ikoje? Click to expand... Mbona bei rahisi sana? Au ni mtumba??
Kishnajr said: Habari wakuu, naomba ushauri kidogo kwa yeyote mwenye uzoefu wa hizi TV za TCL Kuhusu ubora, uangavu wa picha, pia changamoto zake. Kuna jamaa anataka aniuzie inchi 32 kwa 270000. Atakuwa ananipiga au ikoje? Click to expand... Mbona bei rahisi sana? Au ni mtumba??
Kishnajr JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 407 Reaction score 392 Sep 30, 2024 Thread starter #4 jay-millions said: Mbona bei rahisi sana? Au ni mtumba?? Click to expand... Sjajua hyo ni dukan kaka
Kishnajr JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 407 Reaction score 392 Sep 30, 2024 Thread starter #5 Fene said: Kama haina tatizo na haina muda mrefu sana tokea ainunue (pia iwe Android tv) chukua tu Mzee zipo fresh Click to expand... Pamoja san
Fene said: Kama haina tatizo na haina muda mrefu sana tokea ainunue (pia iwe Android tv) chukua tu Mzee zipo fresh Click to expand... Pamoja san