simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
Habari,
Mimi ni mgeni sekta hii ya ardhi maana nimeishi miaka bila kubahatika kujenga wala kununua nyumba..
Sasa kilichonipelekea kufungua Uzi huu nimefiwa na mama yangu mzazi na alikuwa ana nyumba Temeke...hakuwa na hati ya eneo maana aliipangisha tu...document zilizopo ni za kulipia Kodi ya ardhi nk.
Sasa nataka process kupata hati ya kiwanja kile maana Mimi ni msimamizi wa mirathi ya bimkubwa baada ya kukaa kikao cha familia...
Nawasilisha