Naomba ushauri wa jinsi ya kupata mkopo

Juju_Kiki

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
36
Reaction score
2
Habari za muda huu wakubwa zangu. Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ali ya wanafunzi wa chuo..na ninayo target yangu tayari..yani watu wangu wa karibu hua wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu...sasa mimi ninaomba ushauri wenu ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml?? Maana nimezunguka benki ya nmb na crdb wakasema ni lazima niwe mfanya biaahara...naombeni msaada wenu kama nitapata msaada na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security.any help pliz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…