Naomba ushauri wa Kibiashara kwa Mtaji wa laki 5

Naomba ushauri wa Kibiashara kwa Mtaji wa laki 5

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
600
Reaction score
510
Habari Wana JF,

Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn ulikuwa ni maneno tu.

Nilikuwa na wazo la kuagiza bidhaa china kuja TZ mfano handbags ndogo, naombeni ushauri mwenye mawazo mengine ya uhakika kuhusu business yoyote ya mtaji usiozid laki tano.
 
Uza perfume. Mwanachuo laat year unauza genge la nini. Do a smart project
. a project with eyes, huna haja hata ya fremu, ecommerce ndio kila kitu, piga picha, chukua video ya product yako, tutaona na kununua tuuuu
 
Biashara ni maarifa biashara ni uzoefu ikiwa ujawah kufanya biashara kbs jiandae kula loss ili ujifunze uje kua mfanya biashara kamili miaka ya mbelen..
 
Habari Wana JF,

Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn ulikuwa ni maneno tu.

Nilikuwa na wazo la kuagiza bidhaa china kuja TZ mfano handbags ndogo, naombeni ushauri mwenye mawazo mengine ya uhakika kuhusu business yoyote ya mtaji usiozid laki tano.
Nunua vifaa vya simu, betry, airphones memory n.k hapo kariakoo weka kiosk mtaani kwako uza bei nzuri(usitake faida kubwa sana).

Kwa lak yako tano ukibahatika kuuza vyote kwa muda mfupi faida inakuwa sawa na mtaji

Kumbuka biashara ni uvumilivu kwaiyo usiwe na matarajio makubwa sana pia usijivunge kuwa kama mpiga debe mteja anapokuja
 
Back
Top Bottom