Nunua vifaa vya simu, betry, airphones memory n.k hapo kariakoo weka kiosk mtaani kwako uza bei nzuri(usitake faida kubwa sana).Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn ulikuwa ni maneno tu.
Nilikuwa na wazo la kuagiza bidhaa china kuja TZ mfano handbags ndogo, naombeni ushauri mwenye mawazo mengine ya uhakika kuhusu business yoyote ya mtaji usiozid laki tano.