Youda Fema
Member
- Feb 2, 2024
- 70
- 63
27 mkuuUnamiaka mingapi?
Shukran sana, Kwa ushauriGenge
Shukran sana Kwa ushauri mzurTembeza kahawa barabarani
Biashara ya genge vitu vinaharibika muda wowote Mimi ushauri Kama ananguvu na afya njema angeaza na biashara ya uchinga ata wakuuza vyombo vijiko,sahani nguo za ndani,radio nk kwa mtaji wake anaweza kuingiza hata 10k kwa siku akienda miezi miwili hivi atakuwa amepata mtaji wa laki tatuGenge
Tembeza uji wa ulezi na uji wa mchele.Naombeni USHAURI WA kibiashara wakuu; nina mtaji WA Tsh 50,000/=(Elf hamsin). Je, Kwa mji WA Kilosa, nianzishe biashara Gani?
Ahsanten sana!
Pale Morogoro mjini madogo wanapiga na ndizi za Mzuzu wa kuivachoma mishikaki na ndizi
Naombeni USHAURI WA kibiashara wakuu; nina mtaji WA Tsh 50,000/=(Elf hamsin). Je, Kwa mji WA Kilosa, nianzishe biashara Gani?
Ahsanten sana!
La majambaziGenge
Nunua mayai trei mbili kilo moja 8000 uza stend hapa aibu weke pembeni chemsa uza yai moja 500 mayai yakiisha utakuwa faida 7000 kwa trei zote mbili 14000Naombeni USHAURI WA kibiashara wakuu; nina mtaji WA Tsh 50,000/=(Elf hamsin). Je, Kwa mji WA Kilosa, nianzishe biashara Gani?
Ahsanten sana!